Posted on: September 25th, 2021
Na Paul Kasembo
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa yaTabora limempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jinsi alivyowasilishahotuba yake ya kwanza...
Posted on: September 20th, 2021
Na Paul Kaembo-TMC.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Dkt. Batilda Buriani ameipongeza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Tabora –TUWASA kwa kuweza kufikia asilimia tisini na mbili (% 92) y...
Posted on: September 16th, 2021
NA PAUL KASEMBO
HALMASHAURI ya Manispaa ya Tabora imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi milioni 884 ambayo ni sawa na asilimia 18 ya makadirio ya kukusanya bilioni 4.6 ya mwaka wa fedha 2021/202...