• Lalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TABORA MUNICIPAL COUNCIL
TABORA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • MIfugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Malalamiko
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi , Elimu na Afya
      • Kamati ya Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Halmashauri
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu za maombi
    • Miongozo, Sera na Kanuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Miradi iliyokamilika


1. UJENZI WA MRADI WA JENGO LA MADUKA ENEO LA PRIME TABORA MJINI

Mradi huu ambao unamba una jumla ya maduka 30 ulianzishwa kutokana na changamoto ya Halmashauri kuwa na Mapato Kidogo kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani, hivyo kuanza kufanya kazi kwa mradi huu kumeiwezesha Halmashauri kuongeza mapato kutokana na Tozo ya pango , Leseni za Biashara, Maegesho ya Magari na Usafi wa Mji.

Shughuli zilizofanyika wakati wa Utekelezaji wa mradi

  • Uandaaji wa eneo la ujenzi
  • Ujenzi wa Jengo lenyewe
  • Ujenzi wa mifereji kwa ajili ya kutolea maji ya mvua (Storm water drains)
  • Kuandaa eneo la kuegesha Magari (Parking)
  • Pamoja na ufungaji wa mfumo wa umeme katika Jengo

Halmashauri inatarajia kukusanya Jumla ya TSh. 40,500,000/= ikiwa ni Kodi ya Jengo, Pia Kiasi cha Tsh. 1,260,000/= kimekusanywa ikiwa ni Leseni za Biashara kwa Maduka 18, mradi pia umetoa ajira mbalimbali tangu kuanza kwa ujenzi mpaka kukamilika, mzunguko wa fedha umeongezeka pamoja na mwonekano wa Manispaa kuwa mzuri zaidi


Kupata Taaria zaidi bofya hapo chini.

UJENZI WA MRADI WA JENGO LA MADUKA ENEO LA PRIME TABORA MJINI.pdf



2. UJENZI WA MRADI WA SKIMU YA UMWAGILIAJI BWAWA LA INALA

 

Mradi wa Skimu ya umwagiliaji Inala ni mradi ulioanzishwa na Kujengwa katika Kijij cha Inala kata ya Ndevelwa ambao umehusisha ujenzi wa Bwawa na Miundo mbinu ya Umwagiliaji ambapo hadi sasa bwawa lina ujazo wa mita za ujazo 1,376,000 ambalo lina uwezo wa kumwagilia eneo la ukubwa wa hekta 400 wakati wote kwa ajili ya kilimo cha mpunga , mahindi na mboga mboga.

Vilevile Halmashauri  imefanikiwa kujenga miundo mbinu ya umwagiliaji kufikia hekta 232 na gharama ya mradi huu kwa ujumla ni Tsh. 1,656,342,651.809 ikihusisha ujenzi wa bwawa pamoja na skimu ya umwagiliaji.

Mradi ulianzishwa kwa lengo la kutatua changamoto ya ukosefu au  upungufu wa Chakula kwa wakazi wa Manispaa ya Tabora ambao husababishwa na kilimo duni kutokana na Manispaa ya Tabora kutopata mvua za kutosha kuwezesha shughuli za kilimo cha mazao ya chakula kama mpunga na mahindi hivy kuisababishia serikali gharama kubwa ya kutoa chakula cha msaada ili kuokoa kaya ambazo huathirika kutokana na ukosefu wa chakula

Mafanikio ya mradi ni kwamba mpaka sasa wakulima wapatao 400 wamegawiwa mashamba ili kuanza kilimo cha mpunga na inatarajiwa ujenzi wa skimu ukikamilika wakulima wapatao 1000 watanufaika kwa kulima kilimo chenye tija na kupata uhakika wa chakula , kuinua kipato cha wakulima, kukua kwa uchumi katika Manispaa na wakulima waliopo karibu na mradi kupata maji ya kunyweshea mifugo yao.

 Wakulima wamepatiwa mafunzo kupitia mashamba darasa yaliyotolewa na Wataalamu kutoka Manispaa ya Tabora kwa Kushirikiana na Wataalamu kutoka Chuo cha Kilimo Tumbi

Kupa Taaria zaidi bofya hapo chini.

 UJENZI WA MRADI WA SKIMU YA UMWAGILIAJI BWAWA LA INALA.pdf

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2022 January 29, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA KATIKA ENEO LA TULI KATA YA IFUCHA - INALA July 25, 2022
  • TANGAZO KWA WANANCHI NA TAASISI WALIOOMBA VIWANJA KATIKA ENEO LA INALA - TULI August 17, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA LAAC YAIPONGEZA MANISPAA YA TABORA KWA UJENZI WA MIRADI MIZURI NA UTOAJI WA MIKOPO YA 10% YENYE TIJA

    March 17, 2023
  • DC BURA AWAAGIZA WATENDAJI KATA KUONGEZA NGUVU NA HAMASA KATIKA KUSIMAMIA VIASHIRIA VYA LISHE

    February 15, 2023
  • MANISPAA YA TABORA YATOA MIKOPO YA FEDHA KIASI CHA MILIONI 437,300,000/= KWA VIKUNDI VYA VIJANA , KINA MAMA NA NA WATU WENYE ULEMAVU

    February 14, 2023
  • WALIMU 1680 WA MANISPAA YA TABORA WAPATA VISHIKWAMBI

    January 24, 2023
  • Angalia Zote

Video

TAARIFA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AGOSTI 14, 2022 TABORA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Jarida la Halmashauri Julai - Septemba 2022
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri 2021/22 - 2025/26
  • Capital Investment Plan
  • Tabora Master Plan 2015 - 2035
  • eMrejesho ( Kutuma, kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi)
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Fursa za Uwekezaji
  • Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma

Kurasa Zinazofanana

  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mkoa wa Tabora

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.