• Lalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TABORA MUNICIPAL COUNCIL
TABORA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • MIfugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Malalamiko
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi , Elimu na Afya
      • Kamati ya Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Halmashauri
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu za maombi
    • Miongozo, Sera na Kanuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Afya


Halmashauri ina jumla ya watu 226,999 (Sensa ya watu na Makazi, 2012)

Halmashauri ina jumla ya Kata 29, Vijiji 41, Mitaa 154 na Vitongoji 137 na wastani wa watu kwa kaya ikiwa ni Watu 4.7

VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA

Katika Halmashauri ya Manispaa kuna Jumla ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya 44 kama ifuatavyo;

Na
Aina ya Kituo
Umiliki
 
 
 
Serikali Kuu
Halmashauri
Dini
Binafsi kwa Faida
Shirika la Umma
Taasisi ya Serikali/Jeshi
JUMLA
1
Hospitali
1
0
1
0
0
1
3
2
Vituo vya Afya
0
0
1
2
0
0
3
3
Zahanati
0
22
6
3
1
5
37
4
Maternity Home
0
0
0
1
0
0
1
 
JUMLA
 
 
 
 
 
 
44

NB:-Hospitali kubwa ya Binafsi yenye hadhi ya rufaa inakamilishwa kujengwa na inatarajiwa kufunguliwa rasmi mwezi Disemba 2016. Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Manispaa ya Tabora awamu ya kwanza ‘Consultation Block’ umeshakamilika ukihusisha Ujenzi wa Msingi, ngazi, Nguzo na slab umeshakamilika

  1. FEDHA

Idara ya Afya katika ngazi ya Halmashauri na Ngazi ya Zahanati ina akaunti ambazo hutumika kuweka na kutoa fedha za vyanzo mbalimbali,ambapo akaunti hizo ni kama ifuatavyo:-

NA
JINA LA KITUO
JINA LA AKAUNTI
NAMBA YA AKAUNTI
JINA LA BENKI
1
Idara ya Afya
Tabora MC Health Sector
51010016411
NMB
2
Zahanati ya Block Farm
Block Farm Dispensary
51010017801
NMB
3
Zahanati ya Ng’ambo
Ng’ambo Dispensary
51010011507
NMB
4
Zahanati ya Manoleo
Kamati ya Afya Manoleo
51010007292
NMB
5
Zahanati ya Kalunde
Kalunde Dispensary
51010007490
NMB
6
Zahanati ya Malolo
Zahanati ya Malolo
51010011946
NMB
7
Zahanati ya Cheyo
Zahanati Cheyo
51010010877
NMB
8
Zahanati ya Town
Town Clinic Dispensary
51010009292
NMB
9
Zahanati ya Mtakuja
Mtakuja Dipsensary
51010009236
NMB
10
Zahanati ya Ifucha
Kamati ya Zahanati Ifucha
51010013580
NMB
11
Zahanati ya Ndevelwa
Zahanati ya Ndevelwa
51010007363
NMB
12
Zahanati ya Uyui
Zahanati ya Uyui
51010011356
NMB
13
Zahanati ya Isevya
Zahanati ya Isevya
51010007375
NMB
14
Zahanati ya Uhazili
Uhazili Dispensary
51010019109
NMB
15
Zahanati ya Kakola
Kakola Dispensary
51010008101
NMB
16
Zahanati ya Tumbi
Kamati ya Afya Zahanati-Tumbi
51010007179
NMB
17
Zahanati ya Umanda
Umanda Dispensary
51010011886
NMB
18
Zahanati ya Kiloleni
Zahanati ya Kiloleni
51010007735
NMB
19
Zahanati ya Itaga
Itaga Dispensary
51010011537
NMB
20
Zahanati ya Imalamihayo
Imalamihayo Dispensary
51010016654
NMB
21
Zahanati ya Itetemia
Zahanati ya Itetemia
51010011652
NMB
22
Zahanati ya Ntalikwa
Ntalikwa Dispensary
51010011794
NMB
23
Zahanati Ikomwa
Zahanati ya Komwa
51010010998
NMB

Akaunti hizi zilifunguliwa kwa maelekezo maalum kutoka Serikalini bila kibali  chochote kutoka Hazina.

Halmashauri ya Manispaa ya Tabora haina Akaunti ya Hospitali kwani bado ujenzi wa Hospitali haujakamilika.

Fedha zinazoingia katika akaunti ya afya ni fedha za: Mfuko wa Pamoja wa Afya (Health Basket Fund), Ruzuku ( Health Block Grant- OC) na EGPAF, Global Fund, Central Government Other Source.

 Mipango ya afya inashirikisha ngazi mbalimbali ikiwemo ngazi ya jamii na wadau mbalimbali na kutengeza mpango mmoja uliojumuisha Vituo vya Afya na Zahanati.Katika Mwaka wa Fedha 2017/2018 Halmashauri imejipanga kutengeneza mpango wa kila kituo.

Katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora bajeti zilizopitishwa kwa mwaka wa Fedha 2014/2015, 2015/2016, 2016/2017 ilikuwa ni kama inavyoonekana katika jedwali hapa chini.

Jedwali Na. 1 Bajeti iliyopitishwa 2014/2015

CHANZO CHA FEDHA

KIASI KILICHOPANGWA

%

MAPOKEZI

Local Government Block Grants

PE

2,416,851,612

50%

2,246,966,220.09
OC

187,929,000

5%

     84,520,000.00
Council Health Basket Grant-HSBF

393,495,000

12%

393,495,000.00
HSDG/ MMAM

104,751,000

2%

0.00

Receipt in kind

128,613,000

2%

128,613,000.00

LGDG 

791,404,598

7%

0.00

Cost Sharing and Insurance
Funds
User fees

18,990,000

0.46%

16,103,781.00

CHF/TIKA

38,437,500

1%

0.00

Global Fund

122,576,000

2%

0.00

NHIF

10,800,000

0.2%

13,054,165.00

Own source

18,000,000

0.45%

8,440,606.00

Other

874,453,500

17%

         232,381,368.00
Grand Total

5,171,206,112

100%

3,303,579,735.00







Jedwali Na. 2 Bajeti iliyopitishwa 2015/2016

CHANZO CHA FEDHA

KIASI KILICHOPANGWA

%

MAPOKEZI

Local Government Block Grants

PE

2,835,207,614.00

49.7

2,800,863,390.00

OC

156,156,000.00

2.7

43,837,200.33

Council Health Basket Grant

305,239,000.00

5.4

305,239,000.00

Receipt in kind

76,036,000.00

1.3

60,856,900.00

Council Own Resources

41,960,000.00

0.7

3,500,000.00

LGDG

962,000,000.00

16.9

0.00

Cost Sharing and Insurance Funds

User Fees/DRF

25,000,000.00

0.4

20,440,792.00

NHIF

14,000,000.00

0.2

15,402,614.00

CHF/TIKA

200,902,500.00

3.5

12,780,000.00

EGPAF

372,764,900.00


231,907,842.00

CETRAL GOVERNMENT OTHER SOURCE

7,200,000.00


3,000,000.00

Grand Total
5,699,982,014.00

100

3,497,827,738.53

Jedwali Na. 3 Bajeti iliyopitishwa  2016/2017

CHANZO CHA FEDHA

KIASI KILICHOPANGWA

%

MAPOKEZI

Local Government Block Grants

PE

4,809,159,224.00

49

735,355,800.00

OC

58,828,000.00

0.6

4,902,000.00

Council Health Basket Grant

477,225,000.00

4.9

238,612,500.00

Receipt in kind

178,227,000.00

1.8

0.00

Council Own Resources

28,540,000.00

0.3

0.00

LGDG

954,751,000.00

9.7

0.00

Cost Sharing and Insurance Funds

User Fees/DRF

32,523,809.00

0.3

12,260,695.00

NHIF

14,460,000.00

0.1

3,525,000.00

CHF/TIKA

686,802,000.00

7.0

4,220,000.00

Other(Specify)

      2,506,623,315.00

25.6

0.00

Grand Total
   9,805,889,347.00
100
998,875,995.00

Halmashauri ya manispaa ya Tabora bado haijaanza kutumia mfumo wa kielektroniki katika kukusanya mapato badala yake bado inaendelea kutumia mfumo wa kukusanya mapato kwa kutumia mfumo wa kawaida katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya.Halmashauri imejipanga kuanza kutumia mifumo ya kielekroniki katika kukusanya mapato katika vituo vitano ambavyo vina wateja wengi ambavyo ni Ng’ambo, Kiloleni, Isevya,Town Clinic na Cheyo na baadae kuanza katika vituo vilivyobaki.

Mfuko wa Afya ya Jamii (TIKA)

Halmashauri ya manispaa ya Tabora ilianza rasmi kusajiri wanachama wa Tiba kwa kadi (TIKA) tarehe 10/02/2016.Mpaka sasa maombi ya Tele kwa tele yapo kwenye maandalizi.ya awali ikiwa ni pamoja na kuzikusanya risiti za mapato.

Ongezeko la wanachama lipo kwa  sababu Halmashauri ilianza kutekekeleza rasmi tarehe 10/02/2016 kwa mwezi huo ikiwa na  wanachama 92 ambapo ni sawa na 0.2% na  ampaka tarehe 18/11/2016 kulikuwa na wanachama 1,802 ambapo sawa na 4.7% wananufaika na TIKA.

Mipango ni kuongeza wanachama zaidi kwa kutumia mikakati ifuatayo:

  • Kuwashilikisha shughuli za TIKA kamati za Afya za zahanati kuhakikisha wanasaidia kuhamasisha wananchi kujiunga na TIKA
  • Kuhamasisha wananchi kujiunga na TIKA kwa kutumia vyama vya TUMBAKU na SACCOS pamoja na vyombo vya habari mfano CG FM
  • Kuhamasisha walengwa wa mfuko wa TASAF wa kusaidia kaya masikini sana kujiunga na TIKA
  • Kuwashirikisha wadau mbalimbali kupitia uchangiaji wa huduma za Afya ya jamii kwa makundi maalumu mfano: wazee wasio na uwezo,watotowanaoishi katika mazingira hatarishi n.k
  • Kuwashirikisha viongozi wa kata (kamati ya ya maendeleo ya kata)
  • Kuwajengea uwezo wahamasishaji wa kujitolea ngazi ya kata,vijiji na mitaa kwa lengo la kuwapatia mbinu za uhamasishaji.
  • Kuhakikisha upatikanaji wa dawa za kutosha ili kuvutia wananchi kujiunga na TIKA
  • Ufuatiliaji na kufanya tathimini ya maendeleo ya mfuko wa Afya ya jamii TIKA zoezi ambalo linafanywa na timu ya uendeshaji wa huduma za Afya ya halmashauri (CHMT)
  •  
  • Anaefuatilia na kusimamia utaratibu mzima wa TIKA katika halmashauri ya Tabora manispaa ni Afisa ustawi wa jamii (Samwel Elisante) ambaye ni mjumbe wa CHMT akisaidiwa na mratibu msaidizi ambaye pia ni afisa Ustawi wa Jamii.

Taarifa ya mapato, mapokezi na matumizi ya fedha kulingana na mipango ya Afya zikiwemo bakaa zilizoripotiwa,taarifa hiyo ni kama inavyoonekana katika jedwali  Na. 4-6 hapa chini;

 

 

 

 

 




VYANZO VYA MAPATO
MFUKO
SALIO  ANZIA
BAJETI ILIYOIZINISHWA
FEDHA ZILIZOPOKELEWA
MATUMIZI
SALIO ISHIA
Local Government Block Grant
PE

0.00

2,416,851,612.00

2,426,966,220.09

2,426,966,220.09

0.00

OC

62,332,775.00

185,229,000.00

84,520,980.00

138,589,580.67

8,264,174.33

Health  sector basket Fund-HSBF
HSBF

53,665,066.87

393,495,000.20

393,499,615.00

436,387,923.87

10,776,758.00

Global  Fund

41,725,811.05

122,576,000.00

0.00

41,725,810.61

0.44

Health Sector Development Grant-HSDG/MMAM
MMAM

57,058,396.90

104,751,000.00

0.00

55,998,604.90

1,059,792.00

LGDG-Capital Development Grant-CDG
CDG

0.00

857,249,000.00

0.00

0.00

0.00

Central government via MSD

100,382,120.00

128,613,000.00

128,613,000.00

215,004,600.00

13,990,520.00

Cost Sharing and Insurance Funds
User Fee

0.00

18,990,000.00

16,103,781.00

3,140,000.00

12,963,781.00

NHIF

0.00

10,800,000.00

13,054,165.00

0.00

13,054,165.00

CHF

0.00

38,437,500.00

0.00

0.00

0.00

Own source
OC

0.00

18,000,000.00

8,440,606.00

7,268,000.00

1,172,606.00

NGO Partners

0.00

640,000,000.00

0.00

0.00

0.00

Mult and Bilateral Partners

22,335,578.38

196,174,000.00

232,381,368.00

192,294,871.78

62,422,074.60

Central Government Other Source

0.00

40,000,000.00

0.00

0.00

0.00

                          JUMLA

337,499,748.20

5,171,166,112.20

3,303,579,735.09

3,517,375,611.92

123,703,871.37

Jedwali Na 4.   Taarifa ya mapato, mapokezi na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015

                                     

JEDWALI NA 5.   Taarifa ya mapato, mapokezi na matumizi kwa mwaka wa fedha 2015/2016

VYANZO VYA MAPATO
MFUKO
SALIO  ANZIA
BAJETI ILIYOIZINISHWA
FEDHA ZILIZOPOKELEWA
MATUMIZI
SALIO ISHIA
Local Government Block Grant
PE

0.00

2,835,207,614.00

2,800,863,390.00

2,800,863,390.00

0.00

OC

30,568,174.33

156,156,000.00

`43,837,200.33

74,047,500.00

357,874.66

Health  sector basket Fund-HSBF
HSBF

10,776,758.00

305,239,000.00

305,239,000.00

175,891,859.88

140,123,898.12

Global  Fund

0.00

63,516,000.00

0.00

0.00

0.00

Health Sector Development Grant-HSDG/MMAM
MMAM

1,059,792,00

0.00

0.00

0.00

1,059,792,00

LGDG-Capital Development Grant-CDG
CDG

0.00

961,999,999.90

0.00

0.00

0.00

Central government via MSD

0.00

76,036,000.00

60,856,900.00

60,856,900.00

0.00

Cost Sharing and Insurance Funds
User Fee

12,963,781.00

25,000,000.00

20,440,792.00

22,143,808.00

11,260,765.00

NHIF

13,054,166.00

14,000,000.00

15,402,614.00

22,255,657.75

6,201,122.25

CHF/TIKA

0.00

200,902,500.00

12,780,000.00

0.00

12,780,000.00

Own source
OC

0.00

41,960,000.00

3,500,000.00

3,500,000.00

0.00

NGO Partners

0.00

640,000,000.00

0.00

0.00

0.00

Mult and Bilateral Partners

62,344,153.00

372,764,900.00

231,907,842.20

241,516,994.20

52,735,001.00

Central Government Other Source

0.00

7,200,000.00

3,000,000.00

3,000,000.00

0.00

                          JUMLA

130,766,824.33

5,699,982,013.90

3,497,827,738.53

3,404,076,109.83

224,581,453.03

 

VYANZO VYA MAPATO
MFUKO
SALIO  ANZIA
BAJETI ILIYOIZINISHWA
FEDHA ZILIZOPOKELEWA
MATUMIZI
SALIO ISHIA
Local Government Block Grant
PE

0.00

4,809,159,224.00

735,355,800.00

735,355,800.00

0.00

OC

564,278.66

58,828,000.00

                  9,804,000.00

2,995,000.00

6,908,000.00

Health  sector basket Fund-HSBF
HSBF

140,123,898.12

477,225,000.00

238,612,500.00

36,310,725.00

342,425,678.10

LGDG-Capital Development Grant-CDG
CDG

0.00

954,751,000.00

0.00

0.00

0.00

Central government via MSD

0.00

178,227,000.00

0.00

0.00

0.00

Cost Sharing and Insurance Funds
User Fee

0.00

32,523,809

12,260,695.00

8,000,000.00

4,260,695.00

NHIF

0.00

14,459,999.90

3,525,000.00

2,000,000.00

1,525,000.00

CHF/TIKA

0.00

686,801,999.56

4,220,000.00

0.00

4,220,000.00

Own source
OC

0.00

28,540,000.00

0.00

0.00

0.00

NGO Partners

0.00

215,910,000.00

0.00

0.00

0.00

Mult and Bilateral Partners

49,048,308.67

2,347,333,314.70

0.00

47,875,586.54

1,172,722.13

Central Government Other Source

0.00

7,200,000.00

0.00

0.00

0.00

                          JUMLA

189,736,485.45

9,810,959,347.16

1,003,777,995.00

832,537,111.54

360,512,095.23

JEDWALI NA 6.   Taarifa ya mapato, mapokezi na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017



Taarifa ya hoja za ukaguzi pamoja na utekelezaji wake ni kama inavyooneka kwenye taarifa ya CAG 2014/2015.Nakala ya final accounts ya Basket Fund 2014/2015 na 2015/2016

HRH and Administration

Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kupitia Idara ya afya ina jumla ya watumishi 260 kati ya watumishi 552 wanaohitajika. Upungufu ni watumishi 292 sawa na aslimia 52.9%. Hali hii inapelekea vituo vingi kuendeshwa na kusimamiwa na wauguzi pekee, aidha inapanga watumishi na inafanya ‘Redistribution’  katika vituo vya kutolea huduma  ili kuleta uwiano katika vituo vya kutolea huduma za Afya.

Orodha ya watumishi walivyopangwa kwenye vituo na ‘redistribution’ ambayo imekwisha fanyika inayoonesha watumishi walivyohamishwa ni kama inavyoonekana katika kiambatanisho “A”  na “B”.

Changamoto zinazoikabili Halmashauri kwa upande wa Rasimali watu ni kama ifuatavyo;

i.Uhaba wa watumishi hasa wauguzi na Maafisa Tabibu unaopelekea ugumu wa kufanya redistribution hasa kwa watumishi ambao wamepata mafunzo ya mitaala mbalimbali inayolenga kuboresha hali ya utoaji wa huduma katika kituo ambacho mtumishi anafanya kazi.

ii. Kupungua kwa ukomo wa bajeti ya Matumizi mengineyo kutoka Tsh 156,156,000(Mwaka 2015/2016) hadi Tsh.58, 828,000 (2016/2017) ambayo ni sawa na punguzo la Tsh.97, 328,000 (62.3%) hali inayopelekea madai mbalimbali ya watumishi kutolipika yakiwemo ya uhamisho. Kufikia tarehe 30.06.2016 madeni ya watumishi wa Idara ya Afya ni takribani Tsh 262,214,121.00

iii. Kusitishwa kwa ajira.

Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kila mwaka hufanya tathmini ya utendaji kazi wa watumishi kwa kutumia mfumo wa wazi wa mapitio na tathmini ya utendaji kazi (OPRAS). Aidha katika mwaka wa fedha 2015/2016 Halmashauri iliomba watumishi 84 wa sekta ya afya na kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ni watumishi 367 ambapo hadi sasa hakuna mtumishi aliyeajiriwa.

Katika mwaka wa fedha 2016/2017 halamshauri imetenga kiasi cha Tsh. 21,480,000.00 ambapo Tsh. 6,720,000.00 ni kwa ajili ya watumishi wapya na Tsh. 3,000,000.00 kwa ajili ya wastaafu kupitia OC na Tsh 11,760,000.00 kwa ajili ya ‘Redistribution’.

Kumbukumbu za watumishi hutunzwa katika mafaili ya watumishi yaliyoko katika ofisi ya mkurugenzi wa Manispaa, katika mwaka wa fedha 2016/2017 idara imetenga kiasi cha Tsh. 21,000,000.00 kwa ajili ya kuweka shelf katika ofisi ya mganga mkuu ikiwa ni pamoja na kununua mafaili yatakayotumika kutunza kumbukumbu za watumishi.Hata hivyo kwa kuanzia kumbukumbu zote za wajumbe wa CHMT zinatunzwa katika Ofisi ya mganga Mkuu na Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa.

Halmashauri hulipa stahiki mbalimbali za watumishi ikiwa ni pamoja na Nauli za likizo, kusafirisha watumishi wanaostaafu,hata hivyo pale ambapo inashindikana kulipwa kutokana na uhaba wa fedha stahiki hizo huwekwa katika orodha ya madeni ambapo madeni yote kufikia Tarehe 30/10/2016 kiasi cha Tsh 262,214,121.00  ambapo Madeni ya Tsh. 142,395,521.00 yamehakikiwa na madeni ya Tsh. 119,818,600.00 hayajahakikiwa.

Ifuatayo ni orodha ya madeni yasiyo mishahara ambayo watumishi wa sekta ya afya wanadai;

Na.
AINA YA MADAI
KIASI

UCHUNGUZI WA MAITI
1,100,000.00

SAMANI
4,000,000.00

NAULI ZA WASTAAFU
24,550,000.00

UHAMISHO
56,571,251.00

SIMU NA UMEME
2,340,000.00

NAULI ZA LIKIZO
4,602,000.00

MATIBABU
32,864,000.00

KUKAIMU OFISI
19,319,500.00

NYUMBA
3,320,000.00

POSHO YA UNIFORM
32,760,000.000

KUJIKIMU
13,234,700.00

MASOMO
22,607,670.00

CALL ALLOWANCE
44,945,000.00

JUMLA
262,214,121.00

 

Orodha ya wadau wa maendeleo katika idara ya afya waliopo katika Halmashauri ya Manispaa Tabora

NA

JINA LA MDAU

KAZI WANAZOFANYA

MRADI WALIOSADIA

1.

ELIZABERTH GLASER PEADITRIC AIDS FOUNDATION(EGPAF)

  • SHUGHULI ZA KUTHIBITI MAABUKIZI YA UKIMWI TABORA MANISPAA
  • UKARABATI WA ZAHANATI YA TOWN KATIKA KITENGO CHA MATIBABU YA WATU WANAOSHI NA MAABUKIZI YA HIV,PAMOJA NA SEHEMU YA JENGO LA OFISI YA MGANGA MKUU TABORA MANISPAA
  • HUDUMA KWA WATU WENYE KUISHI NA VVU
  • HUDUMA ZA KUZUIA MAAMBUKIZO YA VVU KUTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO.
  • KUWAJENGEA UWEZO KWA WATUMISHI WA AFYA NA NGAZI YA JAMII.
  • WAMEWEZESHA KUTAO DAWA NA VIFAA TIBA.

2.

JHPIEGO

  • WANAFANYA SHUGHULI YA TOHARA KWA WANAUME ILI KUPUNGUZA KASI YA MAABUKAIZI YA HIV
  • HUDUMA YA TOHARA YA KITABIBU KWA WANAUME.
  • KUJENGEA UWEZO KWA WATUMISHI WA AFYA.
  • UPIMAJI WA VVU KWA NGAZI YA JAMII WAKAKISHIRIKIANA NA SAUTI.

3.

TABORA DEVELOPMENT FONDATION TRUST(TDFD)

  • KUHIFADHI MAZINGIRA ,MAJI,AFYA NA USAFI WA MAZIGIRA ,KILIMO ENDELEVU,NA UFUGAJI BORA  NA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI
  • HUDUMA RAFIKI AFYA YA UZAZI  KWA VIJANA
  • KUTOA MITAJI KWA WANAWAKE WAJANE WALIOADHIRIWA NA VVU.
  • UPIMAJI WA MAKUNDI MAALUMU.

4.

TANZANIA REDCROSS SOCIETY

  • KUTOA HUDUMA ZA DHARURA
  • KUTOA HUDUMA  ZA KUDHIBITI UKIMWI KWA NGAZI YA JAMII
  • KUTOA KWA HUDUMA ZA WAGONJWA WA NYUMBANI , VVU, SARATANI, KISUKARI, MAGONJWA YA MOYO N.K.

5.

SHIRIKA LA WALEMAVU TANZANIA (SHIVYAWATA)

  • KUTETEA WALEMAVU,KUTOA ELIMU YA UFUNDI STANDI NA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI
  • KUJENGA UWEZO KWA WATUMISHI WA AFYA JINSI YA KUONGEA KWA ALMA JINSI YA KUTOA HUDUMA KWA ULEMAVU WA KUSIKIA.

6.

CHRISTIAN YOUTH NETWORK

  • SHUGULI ZA KUDHIBITI UKIMWI

7.

TABORA CARES FOR PEOPLE LIVING WITH HIV/AIDS

  • KUHAMASISHA JAMII KUPUNGUNZA MAABUKIZI YA UKIMWI  NA MATUMIZI SAHIHI YA  DAWA ZA KUPUNGUZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV)
  • KUELEMISHA JAMII

WALITOA USAFIRI COMMUNITY TB/HIV ( BAISKELI)

UFUATILIAJI WAGONJWA WA HIV .

8

COMPASSION INTERNATIONAL TANZANIA
  • HUDUMA KWA WATOTO WENYE KUISHI NA MAZINGIRA MAGUMU.
  • KUTOA HUDUMA YA ELIMU NA MISAADA  KWA WATOTO WENYE KUISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
  • UPIMAJI WAV VU KWA WATOTO NA WAZAZI/WALEZI WAO.

9

PAMOJA TUWALEE
  • KUSAIDIA WYWMH NA KUSIMAMISHA VIKUNDI KUWEKA NA KUKOPA.
  • HUDUMA ZA KUWEKA NA KUKOPA
  • UPIMAJI WA VVU KATIKA NGAZI YA JAMII

10

SPRITUAL  LIFE IN CHRIST
  • KUSAIDIA WATOTO YATIMA
  • SHUGHULI ZA KUDHIBITI UKIMWI
  • ELIMU YA VVU NA UKIMWI KATIKA NGAZI YA JAMII.

11

MTAKATIFU  PHILIP
  • MATIBABU KINGA, UPIMAJI, VVU, NA UTOAJI DAWA ZA ARV .
  • KUTOA HUDUMA KWA WATU/WATOTO WENYE KUISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
  • HUDUMA ZA LISHE
  • KUTOA VIFAA KWA WAGONJWA KWA MF MAGODORO.
  • ADA KWA ZA SHULE KWA WANAFUNZI.

12

MARIE STOPES
  • HUTOA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO.
  • KUFANYA HUDUMA ZA MKOBA ZA UZAZI WA MPANGO KATIKA ZAHANATI ZA MANISPAA.

13

ENGENDER HEALTH
  • HUTOA HUDUMA ZA UZAZI WA MPANGO.
  • KUFANYA HUDUMA ZA MKOBA ZA UZAZI WA MPANGO KATIKA ZAHANATI ZA MANISPAA.

14

PSI
  •  KUGAWA CONDOM, NA WATER GUARD
  • KUGAWA CONDOM NA WATER GUARD

15

GSI
  • MATIBABU KINGA, UPIMAJI, VVU, NA UTOAJI DAWA ZA ARV ,NAKUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI
KUSAIDIA HUDUMA ZA MATIBABU,KINGA, UPIMAJI, VVU, NA UTOAJI DAWA ZA ARV ,NAKUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI

16

IMA INTERNATIONAL
  • KUZUIA MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE
  • HUTOA DAWA KWA AJILI YA KINGA NA TIBA YA MINYOO,KICHOCHO, NGIRI MAJI, MATENDE NA MABUSHA

17

GLOBAL FUND
  • MATIBABU KINGA, UPIMAJI, VVU, NA UTOAJI DAWA ZA ARV ,NAKUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI
  • KUJENGEA UWEZO WATUMISHI
  • KUFANYA MALIPO YA X-RAY KWA WAGONJWA WENYE VVU

Vituo vya Afya na Zahanati

Halmashauri ina jumla ya maboma matatu ya vituo vya kutolea huduma za afya  ambapo ndani yake ni boma moja tu lililowekwa kwenye mpango wa 2016- 2017 ambalo ni boma la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya.Mpaka kufikia October 2016 hakuna kituo ambacho kimekamilika lakini hakifanyi kazi.

Na
JINA LA BOMA
HATUA ILIYOFIKIWA
GHARAMA ZILIZOTUMIKA
GHARAMA ZILIZOWEKWA KWENYE MPANGO 2016/2017
GHARAMA ZINAZOHITAJIKA KUKAMILISHA
1
Hospitali ya Wilaya
Ujenzi wa jengo la OPD umefikia  kwenye awamu ya kwanza ambapo  Msingi,Nguzo,Ngazi na Slabu tayari zimekamilika BADO Kuezekwa
149,963,674.80
200,000,000.00 (chanzo cha fedha ni CDG)
9,800,000,000.00
2
Zahanati ya Ituru
LENTA
NGUVU YA WANANCHI
9,275,000.00 (chanzo cha fedha ni CDG)
150,000,000.00
3
Zahanati ya Igombe
LENTA
NGUVU YA WANANCHI
8,177,160.00
(chanzo cha fedha ni CDG)
150,000,000.00

Katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kuna majengo mawili ya Vituo vya Kutolea huduma za Afya ambayo yamekamilika lakini bado hayajaanza kutoa huduma, majengo hayo ni Jengo la Hospitali ya Malolo iliyopo kata ya Malolo inayomilikiwa na Dr. Kilunga  na Jengo la Zahanati ya Tabora Menonite iliyopo kata ya Malolo.

Halmashauri inampango wa kuwasaidia wananchi walio mbali na vituo vya kutolea huduma za afya inavyoonekana hapa chini;

NA.
KATA
ZAHANATI

KIJIJI KILICHO MBALI NA KITUO CHA HUDUMA ZA AFYA

ZAIDI YA KM 5

 

JITIHADA ZINAZOFANYIKA

1
KABILA
UMANDA
KABILA, KIGOMBE, IGOSHA
WANANCHI WA KIJIJI CHA KIGOSHA NA KIGOMBE WAMEANZA UJENZI WA ZAHANATI AMBAPO KWA SASA IPO KATIKA HATUA YA MSINGI
2
NDEVELWA
NDEVELWA
IBASA, ITULU
ITULU JENGO LIPO HATUA YA LENTA HALMASHAURI IMEWEKA KWENYE MPANGO WA 2016/2017 KWA AJILI YA KUKAMILISHA UJENZI.
3
IKOMWA
IKOMWA
KAPUNZE, MWIBITI,ZAIRE, IGOMBE
 IGOMBE  JENGO LIPO HATUA YA LENTA KWA NGUVU  ZA WANANCHI
4
TUMBI
TUMBI
ITEMA
UJENZI HAUJAANZA
5
UYUI
UYUI
KALUMWA
UJENZI HAUJAANZA

Jedwali linaloonesha mchanganuo wa vituo vya kutolea huduma za afya na umiliki ni kama linavyoonekana katika kiambatanisho “C”

HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA MUHIMU (TRACER MEDICINE) KWENYE VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA.

Halmashauri ya Mainispaa ina vituo 44 vinavyotoa taarifa za Dawa muhimu kila mwezi,  kwa mwaka 2015 Januari hadi Desemba hali ya upatikanaji wa dawa muhimu [Trecar Medicine]  kwa ujumla ilikuwa ni wastani wa asilimia 91.9(91.9%), Dawa iliyopatikana  kwa asilimia 98.7(98.7%) ilikuwa ni dawa ya chanjo ya DPT na bidhaa iliyopatikana kwa kiasi ni kipimo cha haraka cha Malaria MRDT ambacho kilikuwa na asilimia  82.3(82.3%)

Kwa mwaka 2016 Januari hadi Juni hali ya upatikanaji wa dawa muhimu ulishuka kwa asilimia 13.4(13.4%) ambapo wastani ilikuwa ni asilimia 78.5 (78.5%) Wasitani wa juu ilikuwa 100% kwenye dawa ya TLE (Tenofovir 300mg +Lamivudine 300mg+Efavirenz 600mg) ambayo ilipatikana kwa kipindi chote kwa vituo vyote vinavyotoa huduma ya option B+ na CTC na bidhaa iliyokuwa na wastani wa chini ilikuwa ni Mabomba ya sindano (Syringes Disposable) ambayo yalipatikana kwa wastani wa asilimia 48.4(48.4%)

Katika robo ya tatu ya mwaka 2016 mwezi Julai hadi Septemba upatikanaji wa dawa muhimu ulikuwa asilimia 89.7(89.7%) hali ya kupanda kwa kiasi hiki imetokana na kufunguliwa kwa akaunti katika vituo vya kutolea huduma vya Serikali, ambapo makusanyo ya papo kwa papo yameboreshwa baada ya TIKA kuanzishwa na kuinua kipato katika vituo vyetu vya kutolea huduma, NHIF ni chanzo kingine ambacho kinaongeza pato katika vituo na hivyo kuwezesha vituo vyetu kufanya manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kuinua kiwango cha upatikanaji wa dawa muhimu katika vituo vyote vya kutolea huduma,  hadi Oktoba 2016 kiasi cha pesa kilichotumika kutoka vyanzo vyote vya makusanyo ngazi ya vituo ni Tsh.12,590,300.00.

Kwa chanzo cha fedha zinazoingizwa MSD katika akaunti za vituo na Wizara ya Afya (Receipt in kind) Vituo vyetu vinajumla ya deni la Tsh.36,176,128.00.ambalo vituo vimeanza kujipanga kulipa kwa kutumia makusanyo ya vituo ili kupunguza deni hilo, hata hivyo Serikali imeleta mgao wa pesa kiasi cha Tsh.29,134,000.00 ambazo zimeingizwa MSD kwa ajili ya vituo 22 vya serikali, ambapo likipunguzwa deni limebaki Tsh 7,042,128.00 .

Kwa kutumia chanzo cha mfuko wa pamoja wa Afya (Health Basket Fund) kwa mwaka wa fedha 2015/2016 Idara ilifanikiwa kufanya manunuzi ya dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya Sh.89,113,958.12 ambavyo vilipatikana MSD vilikuwa na thamani ya Tsh. 19,896,300.00 viligawiwa kwenye Vituo vya kutolea huduma 22 vya Serikali, ambavyo havikupatikana MSD vilikuwa na thamani ya Tsh.78,217,658.12 ambavyo taratibu za manunuzi zimefikia hatua ya LPO na mzabuni ameahidi kuleta dawa hizo tarehe 25/11/2016, na dawa hizi zikipatikana zitasambazwa mara moja kwenda vituoni. Kwa mwaka huu wa fedha,halmashauri imepokea kiasi cha Tsh. TSh.30,322,585.95 kwa ajili ya dawa na Tsh.14,657,499.84  kwa ajili ya vifaa vya hospitali. Maombi ya kununua dawa na vifaa hivi yameshatumwa MSD na tayari taratibu zinaendelea hadi tarehe 30/11/2016 tunatarajia kuwa tutakuwa tumesha pata dawa kutoka bohari. Changamoto ni dawa kukosekana kwa wingi MSD hali inayopelekea kuchelewa kupatikana kwa dawa hizo kwa wakati kutokana mlolongo mrefu wa taratibu za manunuzi .

MIKAKATI.

CHMT kuendelea kuhimiza ukusanyaji wa mapato kwenye vituo ili vituo viweze kununua dawa muhimu kwenye vituo vyote kwa kutumia pesa za makusanyo kutoka  kwenye vyanzo vyote vya mapato ngazi ya kituo.

 HALI YA AFYA YA UZAZI NA MTOTO

HUDUMA ZA IPT

MWAKA 2015

MWAKA 2016

WALIOHUDHURIA

IPT 2

IPT 4

WALIOHUDHURIA

IPT 2

IPT 4

26,535

4,487 (17%)

1,384 (5%)

26,100

3,108 (12%)

1,261 (5%)

 

 

JUMLA YA WALIOJIFUNGUA

JUMLA YA WALIOJIFUNGUA

2015

2016

KITUONI

BBA

TBA

HOME

JUMLA YA WALIOJIFUNGUA

KITUONI

BBA

TBA

NYUMBANI

10,353

9,922 (95.8%)

266

(2.6%)

87

(0.8%)

78

(0.7%)

8,841

8,477

(95.8%)

234

(2.6%)

59

(0.7%)

71

(0.8%)

 

HUDUMA BAADA YA KUJIFUNGUA

JUMLA YA WALIOJIFUNGUA

2015

2016

NDANI SAA

48

WALIO KAMILISHA MAHUDHURIO 4

JUMLA YA WALIOJIFUNGUA

 NDANI SAA

48

WALIO KAMILISHA MAHUDHURIO 4

10,353

2,386 (23%)

1472 (61.6%0

8,841

7,288 (84%)

1,424 (19.5%)

 

 

 

TAARIFA YA VIFO VYA AKINA MAMA VITOKANAVYO NA MATATIZO YA UZAZI

SABABU YA KIFO
MWAKA 2015
MWAKA 2016
KIFAFA CHA MIMBA
5
4
UAMBUKIZO
5
3
KUTOKA DAMU NYINGI BAADA YA KUJIFUNGUA
7
1
PIH
5
0
DAWA YA KIENYEJI
1
2
SABABU NYINGINE
1
3
HIV/AIDS
0
2
KUTOKA DAMU NYINGI KABLA YA KUJIFUNGUA
0
4
KUCHANIKA KIZAZI
0
2
UPUNGUFU WA DAMU
0
3
JUMLA
24
24

VIFO VYA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 NGAZI YA KITUO

SABABU YA KIFO
MWAKA 2015
MWAKA 2016
MALARIA
98
21
KICHOMI CHA MAPAFU
40
14
UTAPIA MLO
  7
1
KUUNGUA MOTO
  1
0
ANAEMIA
0
4
MENINGITIS
0
2
MAAMBUKIZI NJIA YA HEWA
0
3
KUHARISHA
0
1
UAMBUKIZO
0
21
NJITI
0
16
MENGINEYO
0
6
JUMLA
147
137

 

VIFO VYA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 NGAZI YA JAMII

SABABU YA KIFO
MWAKA 2015
MWAKA 2016
KICHOMI CHA MAPAFU
4
0
MAGONJWA YA NJIA YA HEWA
4
0
MENGINEYO
 2
1
KUHARISHA
0
2
DEGEDEGE
0
1
JUMLA
10
4

 

VIFO VYA WATOTO WACHANGA

SABABU YA KIFO
MWAKA 2015
MWAKA 2016
UAMBUKIZO

3

20
KICHOMI CHA MAPAFU

2

3
NJITI

1

16
 NYUZI JOTO CHINI 35C

1

9
SABABU NYINGINE

5

2
MALARIA

0

1
KUSHUKA SUKARI

0

1
KUSHINDWA KUPUMUA

0

50
JUMLA

12

102

 

AFYA YA UZAZI KWA VIJANA

 

MIMBA ZA UTOTONI

Kwa kipindi cha mwezi Januari 2014 hadi Mwezi Julai 2016 jumla ya wasichana waliopata mimba za utotoni (Chini ya Umri wa Miaka 20) ni 5,858 (20.7%)

Na
MWAKA
IDADI YA WAJAWAZITO CHINI YA UMRI WA MIAKA 20
IDADI YA WAJAWAZITO CHINI YA UMRI WA MIAKA 20
JUMLA
1
2014
2,339 (20.3%)
9,172 (79.7%)
11,511
2
2015
2,294 (20.9%)
8,646 (79.04%)
10,940
3
Jan.2016 – Julai 2016
1,225 (26.4%)
4,647 (73.6%)
5,872
4
JUMLA
5,858 (20.7%)
22,465 (79.3%)
28,323

Manispaa  ya Tabora kwa kushirikiana na EGPAF imeendesha mafunzo kwa watumishi wa Zahanati za Cheyo na Town juu ya Afya rafiki ya Uzazi kwa vijana

Wilaya inakamilisha andiko la ujenzi wa kituo cha Huduma rafiki za Afya ya Uzazi kwa vijana katika Zahanati ya Isevya

 

MIKAKATI YA KUBORESHA  UTOAJI WA HUDUMA RAFIKI KWA VIJANA

  •  Kuwajengea   uwezo   watoa huduma   ili  kuweza kutoa  huduma rafiki kwa vijana
  • Kushirikisha taasisi mbalimbali kushiriki katika kutoa huduma rafiki  kwa vijana.
  • Kutoa elimu kwenye maeneo tofauti  ambapo vijana wanaweza kupata elimu  sahihi ya kufikia  huduma za vijana.
  • Kutoa elimu kwa kutumia  redio za ndani ya Tabora Manispaa

HALI YA CHANJO 

Asilimia ya watoto ambao waliopata chanjo ya PENTA3 wameongezeka ambapo mwaka 2016 (January 2016-October 2016) walikuwa 7,842 (101%) kati ya watoto waliolengwa 9,343 na  2015 (Januari 2015 hadi Desemba 2015) walikuwa 9,485(104%) kati ya watoto waliolengwa 9,151 ukilinganisha na watoto waliochanjwa 1,219 (95.5%) kati ya 13,366 waliolengwa kwa mwaka 2014 (Januari 2014 hadi Desemba 2014)

 

TAARIFA YA HUDUMA ZA VVU NA UKIMWI  

Halmashuri ya manispaa ya Tabora kupitia idara ya afya imekuwa ikiendelea na juhudi za mapambano dhidi ya maambukizi ya VVU na UKIMWI.

SHUGHULI ZILIZOFANYIKA/ ZINAZOFANYIKA,

  • Huduma za upimaji wa VVU  kwa njia ya kushawishi wateja, kwa hiari yao na upimaji wa VVU kwa ngazi ya jamii ( community home based counseling and testing ) na family testing.
  • Huduma za matunzo na matibabu kwa kutoa dawa za kufubaza vimelea vya VVU na matibabu ya magonjwa nyemelezi.
  • Huduma ya kuzuia maambukizo ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
  • Huduma za wagonjwa wa nyumbani ( HUWANYU ) na waja ( CHW ).
  • Matibabu ya magonjwa ya ngono
  • Huduma za tohara ya kitabibu kwa wanaume.

 

KWA KIPINDI CHA JANUARY HADI DECEMBER 2015.

JEDWALI, 1A: IDADI YA WATU WALIOPIMWA VVU.

Idadi ya waliopimwa
Me
Ke
Waliopimwa wakagundulika kuwa na maambukizi ya VVU
Hali ya maambukizi
Wanaume wenye maambukizo ya VVU
 
 
Hali ya maambukizi 
Waliopimwa na kugunduliwa na VVU
Hali ya maambukizi
30,271
14,502
15,769
1,682
5.5%
576
4%
1,106
7%
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 

HUDUMA ZA MATUNZO NA MATIBABU

Idadi ya wateja waliosajiliwa kwenye huduma za matunzo na matibabu (cumulative) ni 50,494, kati ya hao wanaume ni 17,544 na wanawake ni 32,950.

Idadi ya wateja ambao wanaotumia dawa za ARV (cumulative) ni 33,685 kati ya hao wanaume ni 11,130 na wanawake ni 22,555.

JEDWALI ,1 B;  WATEJA  WALIOSAJILIWA KWA MWAKA  2015

IDADI YA WALIOSAJILIWA
WANAUME
WANAWAKE
1,232
392
835

 

JEDWALI 1 C;  WATEJA WALIOANZA MATIBABU YA ARV KWA MWAKA 2015

WATEJA WALIOANZA DAWA ZA ARV
WANAUME
WANAWAKE
1,168
337
831

 

HUDUMA ZA WAGONJWA NYUMBANI (HBC) KWA MWAKA 2015

Idadi ya wagonjwa wote walioandikishwa ni 4,879 kati ya hao wanaume ni 2,013 na wanawake  ni 2,869.

Walioandikishwa na wako kwenye huduma za matunzo na matibabu ( CTC)  ni 4,261  kati ya hao wanaume ni 1,759 na wanawake ni 2,502.

Walioandikishwa CTC na ambao hawajaanza dawa za ARV ni 621, kati ya hao wanaume 254 na wanawake 367

 JEDWALI 1 D; HUDUMA ZA WAGONJWA NYUMBANI

Wateja ya waliondikishwa kwenye huduma za CTC.
Wanaume
asilimia
Wanawake
Asilimia
4,261
1,759
41.2%
2,502
58.7%





Waliandikishwa CTC  lakin hawajaanza Dawa za ARV
Wanaume
asilimia
Wanawake
Asilimia
621
254
41%
367
59%

 JEDWALI 1, E; RUFAA ZILIZOTOLEWA KUTOKA NGAZI YA JAMII KWENDA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA

JAN HADI DEC/ 2015
RUFAA ZILIZOTOLEWA
RUFAA ZILIZOFANIKIWA
JUMLA
403
341

 

HUDUMA ZA KUZUIA MAAMBUKIZO KUTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO (PMTCT) KWA MWAKA 2015.

        JEDWALI 1, F; HUDUMA PMTCT YA KUPIMA VVU WAJAWAZITO (ANC)

H/MASHAURI
WAJAWAZITO
KIPIMO CHA KWANZA
KIPIMO CHA PILI

TEGEMEWA
HUDHURIA
WANA VVU TAYARI
USHAURI, 1
PIMA
HIV+
USHAURI
2
PIMA
HIV
TABORA MC
9,893
10,953
174
10,519
10,126
263
4,210
1,273
5

 JANUARY HADI JUNE /2016

Idadi ya wateja waliopimwa VVU ni  40,060 kati ya hao wanaume ni 18,976 na wanawake ni  21,084.

Idadi ya waliopimwa na kugunduliwa wanamaambukizo ya VVU ni 1444, kati ya hao wanaume ni 552 ni sawa na asilimia 2.9. na wanawake ni 892 sawa na asilimia 4.2.

JEDWALI 2, A IDADI YA WALIOPIMWA VVU 

Idadi ya wanaume waliopimwa VVU
Waliogunduliwa na maambukizo ya VVU
asilimia
Idadi ya wanawake waliopimwa VVU
Waliogundulika na maabukizo ya VVU
Asilimia
18,976
552
2.9
21,084
892
4-2

Idadi ya wateja waliosajiliwa kwenye huduma za matunzo na matibabu ( CTC ) Januari hadi june / 2016 ni 723 kati ya hao wanaume ni 261 na wanawake  ni 462.

Idadi ya wateja ambao wanaotumia dawa za ARV 770  kati ya hao wanaume ni 238  na wanawake ni 532.

 

 

 

JEDWALI ,2 B;  WATEJA  WALIOSAJILIWA HUDUMA ZA MATUNZO NA MATIBABU  JANUARI NA JUNE  2016

IDADI YA WALIOSAJILIWA
WANAUME
WANAWAKE
723
261
462

 

 JEDWALI, 2C; WATEJA WALIOANZA DAWA ZA  ARV JANURI HADI JUNE 2016.

WATEJA WALIOANZA DAWA ZA ARV
WANAUME
WANAWAKE
770
238
532

 

JEDWALI 2, D;   IDADI YA WAGONJWA WALIOANDIKISHWA HUDUMA ZA WAGONJWA WA NYUMBANI (HUWANYU).

Wateja ya waliondikishwa kwenye huduma za CTC.
Wanaume
asilimia
Wanawake
Asilimia
740
291
39.3%
449
60.6%





Waliandikishwa CTC  lakin hawajaanza Dawa za ARV
Wanaume
asilimia
Wanawake
Asilimia
4,755
1,985
41.7%
2,860
60.1%

JEDWALI 2, E; RUFAA ZILIZOTOLEWA 

JAN HADI  JUNE/ 2016
RUFAA ZILIZOTOLEWA
RUFAA ZILIZOFANIKIWA
JUMLA
247
197

HUDUMA ZA KUZUIA MAAMBUKIZO KUTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO (PMTCT) KWA JAN HADI OKTOBA MWAKA 2016.

        JEDWALI 2, F; HUDUMA PMTCT YA KUPIMA VVU WAJAWAZITO (ANC)

H/MASHAURI
WAJAWAZITO
KIPIMO CHA KWANZA
KIPIMO CHA PILI

TEGEMEWA
HUDHURIA
WANA VVU TAYARI
USHAURI, 1
PIMA
HIV+
USHAURI
2
PIMA
HIV
TABORA MC
9,151
10,041
194
9,878
9,713
198
1,554
1,554
0

JEDWALI 2,G; WATOTO WALIOZALIWA NA MAMA WENYE HIV JANUARI HADI SEPT/ 2016.

Idadi ya watoto waliozaliwa na kina mama wenye VVU ni 305, ambao walioanzishiwa na NVP syrup ni 263 , watoto walioanzishiwa CTX ni 303, watoto 307. Watoto 13 waligundulika wameambukizwa VVU sawa na asilimia 4%  waliopimwa kipimo cha kwanza cha DNA PCR kati ya hao waliopima kipimo cha kthibisha ( antibody ) watoto  93 kati ya hao waliombukiwzwa na VVU sawa na asilimia   1%.

 

CHANGAMOTO

Kipimo cha kuthibitisha maabukizi ya mtoto baada ya kunyonya umri wa miezi 18 wazazi wengi hawaleti watoto wao.

Kutoa anuani na majina ambayo sio sahihi hii hupelekea utoro

UTATUZI

Kuanzisha huduma za PHFS kwa huduma za mama na mtoto, ikiwa kuwa na siku maalumu ya kiliniki ya mama na mtoto, kuweka sticker kwenye CTC FILES.

Upimaji wa VVU kwa watoto , family test, routine HIV testing , kampeni za upimaji na uimarishaji wa klabu za watoto.

  •  

UANZISHAJI NA UENDESHAJI WA ‘SOBER HOUSE’ KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA

Halmashauri ya Manispaa ya Tabora inashirikiana na Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii katika Kuanzisha na kuendesha Mradi wa Kuwahudumia watumiaji, wategemezi na waathirika wa Dawa za Kulevya (Recovering Addicts)

Tume ya Kuratibu udhibiti wa Madawa ya Kulevya kupitia taarifa zake za kila mwaka inaelekeza uanzishwaji wa Makazi ya Kupata nafuu/Nyumba za Utilivu (Sober Houses) kwa waraibu wa madawa ya kulevya

Waraibu wanaopata matatizo mbalimbali ya kiafya basi mawasiliano hufanyika na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete na Kupata tiba stahili

Sober House kwa Tabora Manispaa ilianzishwa tare 15/09/2016 kwa kibali cha Muda cha Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa na taarifa ziko tayari kwa Kamishina wa Tume ya kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya kwa ajili ya Usajili rasmi wa Kudumu

Kituo (Sober House) ina uwezo wa kuhudumia waraibu 18 kwa wakati mmoja na wa jinsia moja. Kwa sasa katika kituo kuna waraibu saba(7)

Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na TAMISEMI kuwasiliana na Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya kwa ajili ya;

(a)Kupanua wigo (Scale –Up) ya Sober Houser katika Mikoa na Halmashauri na uanzishaji wa Huduma za Methodone. Aidha kuratibu Sera na Miongozo ya sera(Kama Ipo) ya kusaidia watumiaji, wategemezi na waraibu wa Dawa za Kulevya

(b) Huduma hii iwafikie pia watumishi wa Umma ambao wanaweza kusaidiwa badala ya ya kuchukuliwa hatua za kusimamishwa au kufukuzwa kazi mfano; Utegemezi katika Ulevi wa Pombe

©Kuwe na Programu za mafunzo kwa watoa huduma za Afya wanaowahudumia waraibu

  •  

HALI YA LISHE MWAKA 2015/ 2016:

                                                                                                                 

NA

 

MAELEZO

MWAKA

 
 

2015

(JANUARI – DESEMBA )

 

ASILIMIA

2016 

(JANUARI –JUNI

 
 
ASILIMIA

1.

Idadi ya watoto chini ya miaka 5
66,942
-
75,916
-

2.

Watoto wenye hali nzuri
44,902
67
58,672
77

3.

Watoto wenye utapiamlo wa kati
21,310
31
15,896
20

4.

Watoto wenye utapiamlo mkali
730
1
1,348
2

MIKAKATI YA KUKABILIANA NA LISHE DUNI

  • Kutoa  elimu ya lishe bora kwa jamii hasa wakati mama anajiandaa kubeba mimba, kipindi cha mimba na hata atakapojifungua na kwamba mtoto anyonyeshwe maziwa ya mama jinsi utaalamu unavyoelekeza. Kipindi cha mtoto anapozaliwa hadi kufikisha miaka miwili ni muhimu hasa katika kulinda afya ya mtoto na kuondoa uwezekano wa kudumaa.
  • Kupima  watoto wote kujua iwapo wana utapiamlo:
  •  Pima uzito wa watoto mara kwa mara na kufuatilia maendeleo yao kwenye kadi ya kliniki ya watoto kama ile ya Chati ya safari kuelekea afya bora (Road to Health Chart). Kama huna mzani, njia mbadala ni kupima sehemu ya juu ya mkono wa mtoto. . Huduma hizi inaweza kuwa njia nzuri ya kumsaidia mapema mtoto, kabla utapiamlo haujafikia kiwango cha hatari.
  • Kuhamasisha wananchi kulima mazao ya chakula. Kuzalisha chakula ni miongoni mwa njia bora zaidi za kupata lishe yenye afya, na kukusaidia angalau kupata chakula unapokuwa huna fedha ya kununua chakula.
  • Kushirikisha sekta mbalimbali katika  utekelezaji wa shughuli za lishe.
  • Kutoa rufaa kwa watoto wenye utapiamlo

CHANGAMOTO

Zifuatazo ni changamoto baadhi ya changamoto muhimu zinazoikabili sekta ya Afya;

Vituo vingi vya kutolea huduma za afya havina nyumba za watumishi hali inayopelekea usumbufu mkubwa wa mazingira ya utoaji wa huduma za afya kwa watumishi na wateja. Mahitaji ya nyumba za watumishi wa Afya ni nyumba 161 na nyumba zilizopo ni 23(14.3%) tu.

Kupungua kwa ukomo wa bajeti ya Matumizi mengineyo kutoka Tsh 156,156,000(Mwaka 2015/2016) hadi Tsh.58, 828,000 (2016/2017) ambayo ni sawa na punguzo la Tsh.97, 328,000 (62.3%) hali inayopelekea madai mbalimbali ya watumishi kutolipika. Kufikia tarehe 30.06.2016 madeni ya watumishi wa Idara ya Afya ni takribani Tsh 186,690,721/=

Ukomo mdogo wa bajeti ya ‘On Call’ ya Tsh.7, 200,000 kwa mwaka ukilinganisha na Mahitaji ya Tsh168, 420,000/= kwa mwaka. Hata hivyo katika robo ya kwanza na miezi miwili ya robo ya pili ya mwaka 2016/2017 hakuna fedha ya On Call iliyopokelewa

Uhaba wa watumishi, Idara ya afya ina jumla ya watumishi 267 kati ya watumishi 552 wanaohitajika. Upungufu ni watumishi 285 sawa na aslimia 51.6%. Hali hii inapelekea vituo vingi kuendeshwa na kusimamiwa na wauguzi pekee

Vifo vya mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano

Kiwango kikubwa cha hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI kwa asilimia 3.6%(Jan.2016 hadi Juni 2016)

Ukubwa wa tatizo la Mimba la Utotoni.

Kuisha kwa  chanjo  ya       Surua  Rubella (MR) pamoja  na chanjo ya pepopunda (TT) kwa  kipindi  cha mwezi Julai 2016 hadi Septemba 2016 hivyo kuathiri  juhudi zakuwafikia watoto  waliolengwa kwa  wakati.

JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO

(a)Vituo vingi vya kutolea huduma za afya havina nyumba za watumishi

-Wananchi wamekuwa wakihamasishwa kuanza ujenzi wa nyumba za watumishi kwa nguvu zao na serikali baadae kusaidia umaliziaji

-Kuendelea kuweka katika bajeti ujenzi wa nyumba za watumishi

(b)Uhaba wa Fedha: Kuendelea kufanya ufuatilia fedha iliyoko katika Bajeti Hazina na Kuboresha makusanyo ya fedha za uchangiaji wa huduma za afya (TIKA, Papo kwa papo, NIHF)

©Uhaba wa Watumishi: Kuendelea kutenga nafasi za watumishi wa afya katika bajeti za Mishahara za Kila mwaka hasa kada za wauguzi na Matabibu

(d) Vifo vya mama wajawazito, Watoto, Mimba na Ndoa za Utotoni na Maambukizi ya VVU/UKIMWI

Kuendelea kuweka katika Mpango Kamambe wa Afya wa Halmashauri wa kila mwaka bajeti kwa ajili ya afua za matatizo husika ya Afya

(e) Kushirikisha wadau wa Afya: Wadau wa Maendeleo wa Afya wameendelea kushirikishwa kwa kuchangia raslimali za kutekeleza afua mbalimbali za Afya

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 06, 2025
  • FOMATI ILIYOBORESHWA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2024 KUTOKA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA March 13, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 01, 2024
  • Mazoezi kwa Wafanyakazi na Wananchi, Jumamosi ya Pili kila Mwezi March 23, 2017
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MEYA WA MANISPAA YA TABORA AELEZA KUWA KILA MFANYABIASHARA ANAO WAJIBU WA KULIPA TOZO NA USHURU WA HALMASHAURI

    May 20, 2025
  • MADIWANI WA MANISPAA YA BUKOBA WAKOSHWA NA MANDHARI NZURI NA SAFI YA TABORA

    April 10, 2025
  • KAMATI YA SIASA WILAYA YA TABORA YARIDHISHWA NA MIRADI YA KIMKAKATI INAYOTEKELEZWA WILAYANI HAPA

    January 09, 2025
  • MIKOPO YA ZAIDI YA BILIONI 1.6 YATOLEWA NA MANISPAA YA TABORA

    January 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA Ukuaji wa Kasi wa Mji wa Tabora ndani ya Miaka Miwili (2)
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Jarida la Halmashauri Julai - Septemba 2022
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri 2021/22 - 2025/26
  • Capital Investment Plan
  • Tabora Master Plan 2015 - 2035
  • eMrejesho ( Kutuma, kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi)
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Fursa za Uwekezaji
  • Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma

Kurasa Zinazofanana

  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mkoa wa Tabora

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.