• Lalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TABORA MUNICIPAL COUNCIL
TABORA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • MIfugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Malalamiko
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi , Elimu na Afya
      • Kamati ya Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Halmashauri
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu za maombi
    • Miongozo, Sera na Kanuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Ufugaji Nyuki

MAJUKUMU YA KITENGO CHA MAENDELEO YA UFUGAJI WA NYUKI.

  • Kutekeleza Sera, Sheria, Kanuni na miongozo ya sekta ya ufugaji wa Nyuki
  • Kuhakikisha Nyuki na rasilimali zake zinahifadhiwa na kutumika katika misingi endelevu
  • Kushiriki katika tafiti na kutafsiri matokeo ya tafiti yanayohusiana na shughuli za kiuchumi zinazotokana na sekta ya ufugaji wa Nyuki
  • Kuhamasisha uhifadhi endelevu wa maeneo ya kufugia Nyuki
  • Kutoa mafunzo kwa wafugaji Nyuki/Jamii juu ya mbinu bora za ufugaji wa Nyuki kwa ajili ya kuboresha uchumi na hifadhi ya mazingira
  • Kushirikiana na wadau wa sekta mtambuka kuhakikisha uwepo wa masoko ya uhakika ya mazao ya Nyuki pamoja na viwanda vya kuchakata mazao ya Nyuki
  • Kuishauri Halmashauri juu ya masuala yote yanayohusiana na sekta ya ufugaji wa Nyuki  
  • Kukusanya, kuchakata na kuhifahi takwimu za maendeleo ya ufugaji wa Nyuki
  • Kushirikiana na wadau kupanga na kutekeleza shughuli za maendeleo ya ufugaji wa Nyuki kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho kiuchumi, mazingira na kijamii
  • Kudhibiti na kutoa taarifa juu ya magonjwa ya Nyuki
  • Kuhakikisha viwango vya ubora, usalama na mfumo wa ufuatiliaji wa mazao ya Nyuki vinafuatwa
  • Kusimamia na kuratibu masuala yote yahusuyo watumishi katika ngazi ya kitengo
  • Kusimamia na kuratibu utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya ufugaji wa Nyuki zinazotekelezwa na wadau wote katika mnyororo wa Sekta hii
  • Kuratibu na kutekeleza masuala yote ya maendeleo ya ufugaji wa Nyuki yatakayojitokeza au/na kuelekezwa na Halmashauri


MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KWA KIPINDI CHA 2015/2016 HADI 2020/2021

BOFYA HAPA KUTAPAKUA TAARIFA

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KATIKA NAFASI ZA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA JIMBO LA TABORA MJINI October 04, 2025
  • FOMATI ILIYOBORESHWA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2024 KUTOKA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA March 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 06, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 30, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AKOSHWA NA UBORA WA MIRADI YA MAENEDELEO YA MANISPAA YA TABORA

    July 30, 2025
  • DC WELLA AWATUNUKU VYETI WALIMU WALIOFANYA VIZURI KITAIFA

    July 26, 2025
  • CHIFU FUNDIKIRA AONGOZA MAMIA YA WAKAZI WA TABORA KUMUOMBEA DUA RAIS SAMIA

    July 12, 2025
  • MEYA WA MANISPAA YA TABORA AELEZA KUWA KILA MFANYABIASHARA ANAO WAJIBU WA KULIPA TOZO NA USHURU WA HALMASHAURI

    May 20, 2025
  • Angalia Zote

Video

KIONGOZI BORA NI YUPI? | MWL. JK NYERERE
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Jarida la Halmashauri Julai - Septemba 2022
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri 2021/22 - 2025/26
  • Capital Investment Plan
  • Tabora Master Plan 2015 - 2035
  • eMrejesho ( Kutuma, kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi)
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Fursa za Uwekezaji
  • Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma

Kurasa Zinazofanana

  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mkoa wa Tabora

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.