Posted on: February 3rd, 2022
Na Paul Kasembo.
Waheshimiwa Madiwani kutoka Manispaa ya Tabora walifanya ziara ya siku mbili kwa ajili ya kujifunza namna bora na njia sahihi zenye lengo la kuongeza Ukusanyaji wa Mapato, kuona na...
Posted on: January 18th, 2022
Na Paul Kasembo - TMC.
Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa Tabora kwa kauli moja limepisha Rasimu ya Bajeti ya Tzs Bilioni 48,921,386,574.89 kwa mwaka wa fedha 2022/2023...
Posted on: January 11th, 2022
Na Alex Siriyako,
Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Tabora imetembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Tabora. Kamati hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake Bw.Ha...