Posted on: October 25th, 2022
Na Alex Siriyako,
Wafanyabiashara na Wajasiriamali walioko Manispaa ya Tabora na Tanzania kwa ujumla wamehimizwa kuwekeza kwenye fursa za kiuchumi zinazopatikana katika Manispaa ya Tabora. Miongoni...
Posted on: October 5th, 2022
Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora Dkt. Peter Maiga Nyanja akiambatana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Tabora Mhe. Ramadhan Shabani Kapela pamoja na wadau wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 69 wamekutana ...
Posted on: September 28th, 2022
Na Alex Siriyako,
Manispaa ya Tabora ikiwa ni miongoni mwa Halmashauri zilizopo Nchini imezindua rasmi Miongozo na mikakati ya kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji ngazi ya Elimu Msingi na...