Posted on: January 20th, 2023
Na Alex Siriyako;
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Peter Nyanja amewasainisha Mikataba ya Mpango wa utekelezaji wa shughuli za uboreshaji na usimamizi wa elimu kwa mwaka 2023. T...
Posted on: January 14th, 2023
Na Alex Siriyako;
Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa Tanzania tawi la Mkoa wa Tabora imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika manispaa ya Tabora leo Januari 14,2023. Jumuiya hii iki...
Posted on: December 24th, 2022
Na Paul P. Kasembo;
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi mbalimbali zikiwamo nguo, mafuta ya kula, mbuzi, na chakula kwa Kituo cha kulelea watoto yatima na...