Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora Bosco Nduguru(katikati) akifunga chupa kwa ajili ya kumwagilia mti mchanga jana (tarehe 9/7/2018) katika kipindi hiki cha kiangazi.