• Lalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TABORA MUNICIPAL COUNCIL
TABORA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • MIfugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Malalamiko
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi , Elimu na Afya
      • Kamati ya Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Halmashauri
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu za maombi
    • Miongozo, Sera na Kanuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

MKUU WA WILAYA YA HALMASHAURI YA MANISPAA TABORA AKABIDHI HUNDI ZENYE THAMANI YA SHS 10,500,000 KWA VIKUNDI VYA WAJASILIAMALI

Posted on: November 9th, 2017

Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake na Vijana ni mifuko inayotoa mikopo kwa wanawake na vijana ambao hawakopesheki kwenye mabenki na mashirika ya  fedha kutokana na kukosa dhamana. Halmashauri ya manispaa ya Tabora kupitia Idara ya Maendeleo ya jamii kwa kufuata mwongozo wa utoaji wa mikopo kwa wanawake na vijana hutoa mikopo kwa walengwa  kwa lengo la kuwaimarisha kiuchumi. Mikopo hii imekuwa ikitolewa kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vikundi vyenye sifa.

Katika kutekeleza lengo la kuwainiua wananchi kiuchumu tarehe 08/11/2017 Mh: Mkuu wa Wilaya ya Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kupitia kikao cha baraza la madiwani alikabidhi hundi zenye thamani ya Tshs 10,500,000 kwa vikundi 12 vya wanawake na kimoja vijana vyenye sifa.

SIFA ZA KIKUNDI CHA WANAWAKE. 

  • Kikundi kinatakiwa kuwa na wanachama wasiozidi au kupungua 5, wenye akili timamu na ambao wako tayari kujidhamini
  • Mwanachama anatakiwa kuwa na umri wa miaka 18 na kuendelea
  • Wanakikundi wasiwe wanandugu
  • Kikundi kuwa na akaunti ya pamoja
  • Wanachama wanaofahamiana
  • Kikundi kuwa na katiba
  • Kikundi kusajiliwa Halmashauri 

SIFA ZA KIKUNDI CHA VIJANA. 

  • Wanachama kuwa na umri wa miaka 15-35
  • Wanachama wenye akili timamu
  • Wanakikundi wasiwe wanandugu
  • Kukundi kuwa na akanti ya kikundi na kiwe kimesajiliwa Halmashauri
  • Kikundi kuwa na mradi wa pamoja

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFAZI ZA KAZI ZA MUDA MDH TABORA November 14, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA March 05, 2024
  • FOMATI ILIYOBORESHWA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2024 KUTOKA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA March 13, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA MANISPAA YA BUKOBA WAKOSHWA NA MANDHARI NZURI NA SAFI YA TABORA

    April 10, 2025
  • KAMATI YA SIASA WILAYA YA TABORA YARIDHISHWA NA MIRADI YA KIMKAKATI INAYOTEKELEZWA WILAYANI HAPA

    January 09, 2025
  • MIKOPO YA ZAIDI YA BILIONI 1.6 YATOLEWA NA MANISPAA YA TABORA

    January 04, 2025
  • MADIWANI WA KAHAMA WAIPONGEZA MANISPAA YA TABORA KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI

    December 23, 2024
  • Angalia Zote

Video

MAKALA Ukuaji wa Kasi wa Mji wa Tabora ndani ya Miaka Miwili (2)
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Jarida la Halmashauri Julai - Septemba 2022
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri 2021/22 - 2025/26
  • Capital Investment Plan
  • Tabora Master Plan 2015 - 2035
  • eMrejesho ( Kutuma, kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi)
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Fursa za Uwekezaji
  • Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma

Kurasa Zinazofanana

  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mkoa wa Tabora

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.