• Lalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TABORA MUNICIPAL COUNCIL
TABORA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • MIfugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Malalamiko
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi , Elimu na Afya
      • Kamati ya Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Halmashauri
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu za maombi
    • Miongozo, Sera na Kanuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

Dkt. PETER M. NYANJA AKABIDHI OFISI RASMI KWA MRITHI WAKE NDUGU ELIAS M. KAYANDABILA

Posted on: June 12th, 2023

Na Alex Siriyako:

Dkt. Peter M. Nyanja aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora kabla ya mabadiliko ya uhamisho na uteuzi yaliyofanywa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan hivi karbuni ambapo Dkt. Nyanja amebadilishwa kituo na kwenda Halmashauri ya Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera na Ndugu Elias M. Kayandabila akaletwa Manispaa ya Tabora akitokea Halmashauri ya Muleba, amekabidhi Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora leo juni 12, 2023.

Katika kikao rasmi cha makabidhiano, Dkt. Nyanja amewashukuru Wakuu wa Sehemu na Divisheni kwa ushirikiano mkubwa ambao wamempa wakati wote aliokuwa hapa Manispaa ya Tabora na kuwaomba wampe ushirikiano huo huo ikiwezekana zaidi ya hapo kwa Ndugu Kayandabila.

Ndugu Elias M. Kayandabila, ambae ndio Mkurugenzi mpya wa Manispaa ya Tabora, ameshukuru sana Wakuu wa Divisheni na Sehemu kwa kumkaribisha vyema sana kufanya kazi katika Manispaa hii, ameomba ushirikiano wa dhati sana, ambao kila mmoja atajitambua kwenye nafas yake ipasavyo, na kuongeza kuwa atashirikiana sana na kila mmoja wa wakuu wa Vitengo kuhakikisha kuwa Manispaa ya Tabora inafikia malengo yake iliyojiwekea kwa asilimia mia moja.

Nae Mstahiki Meya wa Manispaa ya Tabora Mhe. Ramadhan Kapela akishuhudia makabidhiano hayo, amemkaribisha sana Ndugu Kayandabila katika Manispaa yake na ameahidi kwa kushirikiana na Baraza la Madiwani kumpa ushirikiano mkubwa sana Mkurugenzi mpya ilmradi tu Manispaa ya Tabora iweze kutimiza malengo yake makubwa iliyojiwekea.

Bi. Happy Mtutwa kwa niaba ya  watumishi wengine amemshukuru Mkurugenzi anaeondoka kwa jinsi alivyowaunganisha watumishi wa Manispaa ya Tabora kuwa kitu kimoja, lakini pia ameahidi kuwa kama Watumishi wa Maispaa kwa umoja wao watampa ushirikiano mkubwa sana Mkurugenzi mpya na hawatomuangusha.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFAZI ZA KAZI ZA MUDA MDH TABORA November 14, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA March 05, 2024
  • FOMATI ILIYOBORESHWA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2024 KUTOKA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA March 13, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA MANISPAA YA BUKOBA WAKOSHWA NA MANDHARI NZURI NA SAFI YA TABORA

    April 10, 2025
  • KAMATI YA SIASA WILAYA YA TABORA YARIDHISHWA NA MIRADI YA KIMKAKATI INAYOTEKELEZWA WILAYANI HAPA

    January 09, 2025
  • MIKOPO YA ZAIDI YA BILIONI 1.6 YATOLEWA NA MANISPAA YA TABORA

    January 04, 2025
  • MADIWANI WA KAHAMA WAIPONGEZA MANISPAA YA TABORA KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI

    December 23, 2024
  • Angalia Zote

Video

MAKALA Ukuaji wa Kasi wa Mji wa Tabora ndani ya Miaka Miwili (2)
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Jarida la Halmashauri Julai - Septemba 2022
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri 2021/22 - 2025/26
  • Capital Investment Plan
  • Tabora Master Plan 2015 - 2035
  • eMrejesho ( Kutuma, kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi)
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Fursa za Uwekezaji
  • Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma

Kurasa Zinazofanana

  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mkoa wa Tabora

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.