• Lalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TABORA MUNICIPAL COUNCIL
TABORA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • MIfugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Malalamiko
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi , Elimu na Afya
      • Kamati ya Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Halmashauri
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu za maombi
    • Miongozo, Sera na Kanuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

BILIONI 19.95 ZA TACTIC KUWEZESHA UJENZI WA KITUO CHA MABASI ENEO LA INALA PAMOJA NA SOKO KUU MJINI KATI- TABORA MANISPAA

Posted on: December 5th, 2024

Jumla ya miradi yenye thamani ya Shilingi Trilioni 2.9 sawa na Dola za Marekani Bilioni 1.108 inatekelezwa maeneo mbalimbali nchini Tanzania ikiwa ni adhma ya Serikali ya Awamu ya Sita kwa kushirikiana na Benki ya Dunia katika uendelezaji na uboreshaji wa Miji ili kuhakikisha utoaji bora wa huduma kwa wananchi nchini Tanzania.

Miradi hiyo inayosimamiwa na OR-TAMSMI na kutekekezwa na TARURA kupitia kikundi kazi cha uratibu wa miradi “projects coordiination team (PCT) “ni mradi wa Uboreshaji Jiji la Dar es Salaam awamu ya pili (DMDP2) na uendelezaji wa bonde la Mto Msimbazi Mkoani Dar es Salaam pamoja na mradi wa TACTIC unaotekelezwa kwenye miji 45 nchi nzima.

Lengo la miradi hiyo ni kuboresha na kuendeleza huduma za usafiri na usafirishaji pamoja na huduma mbalimbali za kijamii ambapo leo Disemba 05, 2024 kumeshuhudiwa utiaji saini wa ujenzi wa kituo cha Mabasi Inala pamoja na soko la Mjini Kati katika Manispaa ya Tabora mkoani Tabora.

Wakati wa utiaji saini mkataba huo, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba amesema ni matarajio ya Serikali kuwa miradi hiyo italeta mabadiliko chanya kwa wananchi wa Tabora kwani miradi hiyo inaboresha mazingira ya ufanyaji biashara na kuongeza thamani ya maeneo husika na hivyo kukuza pato la mwananchi mmoja mmoja na la Mkoa kwa ujumla.

Naibu Waziri Katimba amehimiza pia utunzaji wa miundombinu hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu na kuwa na tija kwa wananchi.

“Viongozi wa Halmashauri zote zinazotekeleza miradi ya TACTIC ni lazima mhakikishe kuwa miradi hii ya Masoko na Vituo vya Mabasi inatunzwa na inapokamilika iwe na uwezo wa kujiendesha na kuzalisha mapato kwa Halmashauri zenu, “alisema Mhe. Katimba.

 Kukamilika kwa ujenzi wa kituo cha mabasi Inala kutawezesha kuhudumia mabasi na daladala zaidi ya 70 kwa wakati mmoja, maegesho ya magari binafsi 142 pamoja na kuongeza makusanyo ya Halmashauri; kuwezesha mazingira rafiki ya kufikika sambamba na uboreshaji wa huduma nyingine za kijamii ikiwemo chumba cha kutunzia watoto, mifumo ya maji,  ufungaji wa taa pamoja na ujenzi wa ofisi mbalimbali.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFAZI ZA KAZI ZA MUDA MDH TABORA November 14, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA March 05, 2024
  • FOMATI ILIYOBORESHWA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2024 KUTOKA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA March 13, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA MANISPAA YA BUKOBA WAKOSHWA NA MANDHARI NZURI NA SAFI YA TABORA

    April 10, 2025
  • KAMATI YA SIASA WILAYA YA TABORA YARIDHISHWA NA MIRADI YA KIMKAKATI INAYOTEKELEZWA WILAYANI HAPA

    January 09, 2025
  • MIKOPO YA ZAIDI YA BILIONI 1.6 YATOLEWA NA MANISPAA YA TABORA

    January 04, 2025
  • MADIWANI WA KAHAMA WAIPONGEZA MANISPAA YA TABORA KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI

    December 23, 2024
  • Angalia Zote

Video

MAKALA Ukuaji wa Kasi wa Mji wa Tabora ndani ya Miaka Miwili (2)
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Jarida la Halmashauri Julai - Septemba 2022
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri 2021/22 - 2025/26
  • Capital Investment Plan
  • Tabora Master Plan 2015 - 2035
  • eMrejesho ( Kutuma, kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi)
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Fursa za Uwekezaji
  • Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma

Kurasa Zinazofanana

  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mkoa wa Tabora

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.