1. Kwanza kabisa tazama kama kuna matangazo ya uuzwaji wa Viwanja kwa kubofya kitufe cha MATANGAZO
2. Kama kuna matangazo ya kuuza viwanja pakua na kujaza fomu ya maombi ya kiwanja na kuiwasilisha Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora
BOFYA HAPA KUPAKUA FOMU YA MAOMBI
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa Tabora, 4 Barabara ya Kiwanja cha Ndege
Anwani ya Posta: S.L.P 174, 45182 Tabora
Simu ya Ofisi: +255 262606088
Simu ya Mkononi: +255
Barua Pepe: md@taboramc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.