Jinsi ya kupata Leseni ya Biashara
1. Uwe na Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) na Tax Clearance Kutoka Mamlaka ya Mapato (TRA)
2. Kisha Jaza fomu ya Maombi ya Leseni, Baada ya kujaza ipeleke Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora
3. Kupata fomu ya maombi bofya hapo chini.
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa Tabora, 4 Barabara ya Kiwanja cha Ndege
Anwani ya Posta: S.L.P 174, 45182 Tabora
Simu ya Ofisi: +255 262606088
Simu ya Mkononi: +255
Barua Pepe: md@taboramc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.