Pichani Mgeni rasmi Mama Salma Kikwete akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kiwilaya maadhimisho yalifanyika katika Viwanja vya Chipukizi leo tarehe 8/03/2018 na kuhudhuliwa na wageni mbalimbali wakiwemo Viongozi wa Chama na Serikali pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kushirikiana na Wananchi wa Wilaya ya Tabora mjini kwa ujumla
Halmashauri ya Manispaa Tabora - Barabara ya Boma
Anwani ya Posta: S.L.P 174 Tabora
Simu ya Ofisi: 026-2604315/6088
Simu ya Mkononi: 0786820518
Barua Pepe: md@taboramc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.