Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Tabora Mjini anawataarifu wafuatao hapo chini kuwa wamepata kazi ya muda ya kuwa BVR KIT OPERATORS na WAANDISHI WASAIDIZI kwa ajili ya kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Bofya hapo chini kupata orodha ya majina ya walioitwa kazini.
KUITWA KAZINI AJIRA YA MUDA (BVR KIT OPERATORS NA WAANDISHI WASAIDIZI)
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa Tabora, 4 Barabara ya Kiwanja cha Ndege
Anwani ya Posta: S.L.P 174, 45182 Tabora
Simu ya Ofisi: +255 262606088
Simu ya Mkononi: +255
Barua Pepe: md@taboramc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.